
Harmonize Amelowa MP3 DOWNLOADÂ
The prolific Konde Music Worldwide superstar singer, Harmonize roll out this massive song titled “Amelowa” this is a follow up to his recent single tagged “Nitaubeba.”
The song was produced by Sign Beat.
Take a listen below!
Amelowa lyrics by Harmonize
Hiyo miinamo huko nyuma yaliyomo yamo eeehBinti wa makamo come closer na give me some moreKama tunda lilimshinda Adamu akashindwa kuvumiliaSa kwanini tuitane binamu na nyongo itatumbukiaUlimi ukipitiliza kunanimaliza mwenzako bado najiulizaHivi ni kweli ama tunaigizaMoyo umezama kwake bila yeye siwezi toboaMi ndo fundi wa raha zake natwanga nakukoboa
Alinikumbatia mkono wa kushoto kwenye giaZikanipanda hisia na nilipochuchumia maji yakatoka
Amelowa, amelowa amelowa na mvuaAmelowa amelowa amenyeshewa na mvuaMtoto amelowa amelowa amelowa na mvuaAmelowa amelowa amenyeshewa na mvua
Uuuh aaah ameniweka kwenye chupa ndo maana natambaUuuuh aaah kwenye papara pupa nawona washambaJeupega mwanao wenye kwilejakuloa jejikukila mwanauLiduvalipapa ukakaukyilamba, liduvalipamba ukakaukakyilamba
Moyo umezama kwake bila yeye siwezi toboaMi ndo fundi wa raha zake natwanga nakukoboaAlinikumbatia mkono wa kushoto kwenye gia zikanipanda hisiaNa nilipochuchumia maji yakatoka
Amelowa, amelowa amelowa na mvuaAmelowa amelowa amenyeshewa na mvuaMtoto amelowa amelowa amelowa na mvuaAmelowa amelowa amenyeshewa na mvua
Ameniweka kwenye chupa ndo maana natambaKwenye papara pupa nawona washambaAlinikumbatia mkono wa kushoto kwenye gia zikanipanda hisiaNa nilipochuchumia maji yakatoka amelowa