Jux – As Long As You Know (Ilimradi Unajua)

Jux - As Long As You Know (Ilimradi Unajua)

Download Jux As Long As You Know (Ilimradi Unajua) MP3 Free Audio Mp4 Video lyrics

The stunning track “As Long As You Know” by Tanzanian R&B king Juma Jux was recently released (Ilimradi Unajua).

As Long As You Know” (Ilimradi Unajua), a brand-new ballad anthem delivered entirely in Swahili, is a gift from Juma Jux to his listeners.

In addition, after a stellar 2021, “As Long As You Know” (Ilimradi Unajua) serves as his first official record for the year.

In conclusion, The track was produced by Foxx Made It.

Listen Below!

 

 

DOWNLOAD AUDIO

As Long As You Know (Ilimradi Unajua) Lyrics by Jux

 

Hauna furaha

Haifichi sura yako

Najua una mpenzi unampenda ila moyo wako haupo hapo

Unapata karaha

Unatunza utu wako, mmmh

Labda unajiuliza kwanini naitaji namba yako

Ila sio lazima nikipiga simu upokee

Sio lazima message zangu majibu yarejee

Nasema sio lazima mi na we tukae tuongee

Ila ukipata mda maji yakizidi Unga nipigie

Ili mradi unajua, aiyeee aaiye aiyeee×4

As long as you know×2

Wanasema joto likizidi unapoza na maji

Ila changamoto zinapozidi unakosa Amani

Kuna mda uu mpweke hujiwezi, unachukia na mapenzi

Kwanini ufe na kitanzi wakati mimi nipo na ipo wazi

Sio lazima nikipiga simu upokee

Sio lazima message zangu majibu yarejee

Nasema sio lazima MI na we tukae tuongee

Ila ukipata mda maji yakizidi unaga nipigie

Ili mradi unajua, Aiyeee aah aiyee×4

As long as you know×3

Usikose Amana

Mama usijitese

Mumy mumy mumy

Faraja yako ipo

Mumy usikose

Leave a Comment